Home
»
MASTAA
» KAJALA ALIVYOFURAHIA UHURU UFUKWENI
|
Kajala akila upepo ufukweni |
|
Kajala akijiachia |
Leo ikiwa ni siku ya mapumziko, tusherekea miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika ambayo iliungana na Zanzibar na sasa inaitwa Tanzania, akionekana mwenye furaha kwa tabasamu na pozi mbalimbali maeneo ya ufukweni , Kajala Masanja ambae ni muigizaji na mkurugenzi wa K entertainments, aliziweka picha zake hizi mtandaoni na kuandika “Wee unaniona hapa me najiona mbaaaaali” akiashilia kuwa mwenye furaha na amani tele.
|
Mrembo kajala akismile |
Kilichofanya nizilete hapa ni likes na comments za ‘Followers’ wake ambao kwa kwa muda wa chini ya nusu saa picha (hiyo aliotupa mgongo) ilipata “Likes” zaidi ya elfu tatu na Comments zaidi ya mia tano. watu wakimsifia kwa umbo na mvuto alionao na hasa vidume wengi wakionyesha kupagawa zaidi na uumbaji huu...Je kibongobongo tunaweza sema Kajala ame BREAK THE INTERNET kwa picha hizi au ame SHUTDOWN THE INTERNET?......
Happy Uhuru Day!!!!
Post a Comment