0
Mwanamuziki ambaye aishi vituko katika mazingira yake yanayomzunguka, Miley Cyrus ameonekana kumpenda zaidi mbwa wake aitwae ‘Mary Jane’.

Hii imetokea baada ya mwanamuziki huyo kuposti picha kwenye akaunti yake ya Twitter na kuandika I love dogs but can’t imagine doing this..Would you?

Post a Comment

 
Top