Wananchi
wakimshangilia mgombea wa CCM, katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga,
Godfrey Mgimwa, alipohutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha
Sadani, Kata ya Mseke, leo Machi 9, 2014.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Joyce Msambatavangu, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Sadani.
Mgimwa akihutubia kijiji cha Sadani, Kata ya Mseke jimbo la Kalenga.
Post a Comment