0

Mshambuliaji hatari wa Simba SC, Amissi Tambwe akiwania mpira na mchezaji wa Prison.
Mashabiki wa Simba wakiishangilia timu yao ndani ya uwanja wa Sokoine, Jijini Mbeya.
Mashabiki wa Prisons.
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC, leo wamevutwa sharubu baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya Tanzania Prison katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa uwanja wa Sokoine, Jijini Mbeya.
(PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL, MBEYA

Post a Comment

 
Top