0
Floyd Mayweather's Tz sh 91.88 billions super fleet: Boxing legend poses in front of his incredible collection of sports cars... and a private jetFloyd Mayweather's Tz sh 91.88 billions super fleet: Boxing legend poses in front of his incredible collection of sports cars... and a private jet

He is the world’s best-paid athlete and Floyd Mayweather certainly knows how to spend his hard-earned wealth. The pound-for-pound boxing king, who earned £66.1million according to Forbes magazine last year, posted a tantalising picture of what you ca…

Read more »

0
Wanawake Uganda: Wanawake Uganda: "Diamond Anajua Mapenzi"

Diamond Platnumz ameamua kuwapa darasa wanaume wa Afrika Mashariki jinsi wanavyotakiwa kuwatreat wapenzi wao and actually wanawake wa Uganda na kwingineko, wamekoma na mbwembwe za hitmaker huyo wa ‘Number One’ kwa mpenzi wake, Zari Tlale aka The Boss…

Read more »

0
Zari the boss laddy: She now lives the SUPER STAR'S life after meeting DiamondZari the boss laddy: She now lives the SUPER STAR'S life after meeting Diamond

Zari has dated many ranging from basket ball star, LK4, muscle man Farouk Sempala and of course the father of her three children, Ivan Ssemwanga, but none of them has given her the life she has been yearning for. Ivan was close to getting her that li…

Read more »

0
Wahitimu wa Shahada, Stashahada na Astashahada Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Polisi Baada Ya Usaili KukamilikaWahitimu wa Shahada, Stashahada na Astashahada Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Polisi Baada Ya Usaili Kukamilika

Jeshi la Polisi Tanzania linawaita Wahitimu wa Shahada, Stashahada na Astashahada Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Polisi Baada Ya Usaili Kukamilika Bofya hapa kupata:Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Polisi Baada ya Usaili Kukamilika  Bofya ha…

Read more »

0
Mengi Amchumbia K-lynn Huko DubaiMengi Amchumbia K-lynn Huko Dubai

Tajiri anayeshika nafasi ya pili hapa Tanzania Mh Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn) Tukio hilo lilitokea katika siku ya birthday ya Jack ambayo ilifanyika huko Dubai hapo ndi Mh Mengi alipoamua kumvi…

Read more »

0
Rose Ndauka na RichiE Warudi Kaa Mkao Wa KulaRose Ndauka na RichiE Warudi Kaa Mkao Wa Kula

Rose ndauka akionekana mwenye furaha akiwa na Richie alitupia picha mtandaoni na kuandika  kwa kifupi zaidi kuwa watu wakae mkao wa kula  kusubiri kazi yao hiyo mpya. “Tunawaandalia Movie mpya kutoka Bullz entertainment#kaa mkao wa kula” Wapenzi  na …

Read more »

0
Diamond na Ommy Dimpoz wawania tuzo za HiPipo Music Awards 2015 Diamond na Ommy Dimpoz wawania tuzo za HiPipo Music Awards 2015

Mastaa wa Tanzania Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platnumz na Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz, nyimbo zao zimetajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards (HMA2015) za Uganda zinazotarajiwa kutolewa mwakani ‘Number One’ (original) ya Diamond na ‘Ndagushima’…

Read more »

0
PICHA:Diamond Platnumz Akiwa Mombasa KenyaPICHA:Diamond Platnumz Akiwa Mombasa Kenya

Msanii Diamond kutoka hapa Tanzania amekwenda nchini kenya katika jiji la Mombasa ambapo hajasema huko kaenda kufanya nin lakin ni show amekwenda kufanya hizi ni baadhi ya picha zake akiwa Mombasa …

Read more »

0
DAVID KAFULILA ATIWA MBARONI NA JESHI LA POLISIDAVID KAFULILA ATIWA MBARONI NA JESHI LA POLISI

JESHI la Polisi linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kwa tuhuma za uchochezi, akiwataka wananchi wasichangie ujenzi wa maabara katika shule za sekondari nchini.   Kafulila alikamatwa mapema jana asubuhi katika mji mdogo…

Read more »

0
PICHA: UWOYA AMWAGA CHEHE INSTAGRAMPICHA: UWOYA AMWAGA CHEHE INSTAGRAM

Mwanadada maarufu katika tasnia ya filamu nchini Irene Uwoya amegeuza macho ya watu wengi kweny mtandao wa instagra baada ya kutupia picha hii akiwa amevalia kanga moko iliyolowa ndembe ndembe kando ya ufukwe. Irene uwoya  …

Read more »

0
VIDEO: BABY BOI APAGAWA AKISHANGAA WADOGO ZAKE MAPACHA WALIOFANANAVIDEO: BABY BOI APAGAWA AKISHANGAA WADOGO ZAKE MAPACHA WALIOFANANA

Mtoto mmoja wa kiume anayeitwa Landon alidakwa na camera ya nyumbani kwao akiwa amepigwa bumbuwazi kubwa akiwashangaa wadogo zake mapacha waliofanana, alipokutanishwa nao kwa mara ya kwanza. Dogo Landon akiwa na wadogo zake hao mapacha Video hii ya …

Read more »

0
PICHA: BAADA YA PICHA: BAADA YA "KIBOKO YAO" MWANA FA KUACHIA KICHUPA CHA HII NYIINGINE

Sina Shaka na wewe mtu wa nguvu utakuwa umeshaisikiliza single mpya ya Hamisi Mwinjuma aka Mwana FA ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Ali Kiba ambayo inaendelea kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya radio. Good news ninayotaka kukupatia ni kwamba …

Read more »

0
VIDEO: DAVIDO ATUKANA HATERS WAKE WOTEVIDEO: DAVIDO ATUKANA HATERS WAKE WOTE

Mimi sikutegemea kama Davido anaweza kuwa mkorofi namna hii..!! jamani sijui nini kimemtokea.Ama kweli moyo wa mtu ni kichaka huwezi kujua ni kipi anakiwaza.. Davido aliongea maneno hayo machafu backstage baada ya kumaliza show yake huko nchini Ugan…

Read more »

0
TID ASALITIWA: TID ASALITIWA: "I will never trust a bi**ch Again"

Huenda nyimbo anazoskiliza zaidi TID kwa sasa ni pamoja na ‘Loyal’ ya Chris Brown na ‘Sitaki Demu’ ya Juma Nature.  TID amedai kusalitiwa na mpenzi wake na hajaona aibu kuliweka hilo wazi. TID ameumwaga mchele huo kwenye akaunti yake ya Facebook: The…

Read more »

0
PICHA: WAKUU WA MIKOA WALIVYOMTEMBELEA MHESHIMIWA RAISIPICHA: WAKUU WA MIKOA WALIVYOMTEMBELEA MHESHIMIWA RAISI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa mikoa waliowawakilisha wenzao kwenda ikulu leo kumjulia hali na kumpa pole kufuatia upasuaji alifanyiwa mwezi uliopita nchini Marekani.(picha na Freddy Maro) Wakuu wa m…

Read more »

0
MAKAVU LIVE: JAY DEE AJIANGALIEMAKAVU LIVE: JAY DEE AJIANGALIE

MMOJA kati ya wasanii ninaowa-heshimu sana katika muziki wa kizazi kipya kutokana na uwezo wao, ni Judith Wambura Mbibo, mwenye majina mengi ya kisanii, lakini maarufu zaidi Lady Jaydee au Jide. Ni bonge la msanii, anajua kuimba, anajua mashairi yana…

Read more »

0
IDRIS WA BBA AONYWA IDRIS WA BBA AONYWA "WATAKUCHUNA TU"

MSHINDI wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan ameonywa na mashabiki kuwa makini na akina dada kwani mamilioni ya shilingi alizokuja nazo zitawafanya wampapatikie kwa lengo la kumchuna. Wadau mbalimbali waliokuwa Uwanja wa Ndege wa Ki…

Read more »

0
BAISKELI INAYOIFUNIKA FERRARI KWA GHARAMA YAZINDULIWABAISKELI INAYOIFUNIKA FERRARI KWA GHARAMA YAZINDULIWA

Baiskeli hii mpya iliyotengezwa kwa dhahabu imezinduliwa nchini unigereza ambapo bei yake ni pauni za uingereza shilingi 250,000 sawa na milioni 676.5 za Tanzania. Baiskeli ya dhahabu Cha ajabu ni kwamba bei hii imezidi hata ile ya gari aina ya Ferar…

Read more »

0
JOH MAKINI NA G NAKO KUACHIA 'XO' SINGLE MPYAJOH MAKINI NA G NAKO KUACHIA 'XO' SINGLE MPYA

Hii ni single mpya ya msanii wa Hip Hop  mwamba wa Kaskazini Joh Makini wimbo unaitwa XO akiwa amemshirikisha G Nako. Joh makini Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Joh Makini na G Nako wakipita hapa wasome kutoka kwa…

Read more »

0
BEEF DIAMOND NA DAVIDO: CHID BENZ NAYE AONGEA HAYABEEF DIAMOND NA DAVIDO: CHID BENZ NAYE AONGEA HAYA

 Chidi Benz ameyaandika haya kuhusu ishu ya Diamond na Davido, Zitto na MwanaFA ni miongoni mwa waliolike. Chidi Benz ameyaandika haya kuhusu ishu ya Diamond na Davido, Zitto na MwanaFA ni miongoni mwa waliolike. Posted by: Millard Ayo December 11, 2…

Read more »
 

LAANA

 
Top