0
Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.
Mapaparazi wakiwa kazini wakati wa zoezi hilo.
Papa Benedict XVI akisalimiana na Rais wa Italia,Giorgio Napolitano jijini Vatican.
Mapadre wakiwa wamebeba picha za watakatifu Papa John Paul II (kulia) na John XXIII (kushoto).
Papa Francis akiwasalimia waumini waliohudhuria ibada ya leo.
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe na mkewe Grace Mugabe wakiwasili kwa ibada ya kuwatangaza watakatifu.
PAPAJohn Paul II na John XXIII wametangazwa kuwa watakatifu katika tukio la kihistoria lililoshuhudiwa na mahujaji zaidi ya milioni moja huko jijini Vatican leo.
Tukio hilo limeendeshwa na Papa Francis pamoja na mtangulizi wake Papa Benedict XVI

Post a Comment

 
Top