Vannesa Mdeee akionyesha umahiri wake wa jinsi ya kulitawala Jukwaa
Mbeya Boy "Izzo B" akikamua vya kutoshaaa jana ndani ya ccm kirumba Mwanza
Rich Mavoko na dancers wake wakiwa backstage
Rich Mavoko akikamua vya kutoshaaaa jukwanii jana kwenye uwanja wa Ccm Kirumba
Zembwela na Dullah wakifanya yao kwenye jukwaaa ndani ya mwanza
Vannesa Mdee na Fid Q wakiwa BackStage
Fid Q akikamua na staili mpya kwenye jukwaa la Killi ndani ya Mwanza
Post a Comment