0
Ile skendo ya kusambaa kwa picha za utupu za msanii wa kike wa Uganda, Desire Luzinda imezidi kumuweka pabaya, kwani sasa waziri wa maadili wa Uganda ameagiza mrembo huyo akamatwe na kushitakiwa.
Lusinda
Kwa mujibu wa New Vision, waziri Simon Lokodo ameagiza polisi kuwafuatilia na kuwakamata Luzinda na boyfriend, ili washitakiwe kwa kosa la kusambaza picha za utupu kinyume na kifungu cha 13 cha Sheria INAYOHUSU PICHA ZA UTUPU.

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

LAANA

 
Top