0
Kim Kardashian sio malaika ni binadamu tu, ila jana usiku alifanikiwa kuigeuza shingo ya kila alliyemshuhudia mwanadada huyo.

Reality star huyo alikuwa akihudhuria maadhimisho ya 19 ya kila mwaka ya ACRIA Holiday Dinner katika jiji la new york New York.



Licha ya kuwa kulikuwa na baridi kali mwanadada huyo alikuwa amepania kuonyesha ngozi vya kutosha kwa kuvalia 'textured green push-up bra top' iliyoacha sehem kubwa ya juu ya mwiili wake ikiwa wazi.

Mwanadada huyo aliinogesha brauzi hiyo kwa kutupia long peach satin pencil skirt na miguuni alijibusti na gold chained sandals.

Kim akiingia kwenye dinner ghala hiyo huku amejifunika koti kujikinga na ubaridi



Kim katika mionekano mingine jana usiku
Katika suala la kupendeza jana usiku katika party hiyo kim K hakuwa peke yake kwani Victoria’s Secret star Alessandra Ambrosio naye alibisha kwa muonekano huu uliacha kiuno na mguu wazi

Hivi ndivyo allivyotkelezea Alessandra Ambrosio

Post a Comment

 
Top