0

      article-0-1F001F4400000578-521_634x344             

Miroslav Klose amefunga bao lake la 15 akiichezea Ujerumani na kulazimisha sare ya 2-2.
TIMU ya Taifa ya Ghana almanusura iibuke na ushindi dhidi ya Ujerumani, lakini mechi hiyo imemalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Ujerumani wakitoka nyuma wamefanikiwa kuvuna pointi moja mbele ya Ghana walioonekana kucheza vizuri kwa dakika zote 90.
High flyer: Miroslav Klose celebrates scoring Germany's second goal against Ghana on Saturday eveningSarakasi juu! Miroslav Klose akishangilia bao lake.
Can't believe it: Ghana keeper Fatau Dauda shows his anger after Germany score to level the game at 2-2Haamini: Mlinda mlango wa Ghana , Fatau Dauda akiwa na hasira baada ya Ujeruman kusawazisha na matokeo kuwa 2-2
Head boy: Mario Goetze (centre) drifts between two defenders to score the opening goal for Germany
Mario Goetze (katikati) akiwapita mabeki wawili wa Ghana na kuifungia Ujerumani bao la kuongoza.

Hapa chini ni Vikosi vya timu zote na viwango vyao. Alama ni chini ya 10.

Kikosi cha Ujerumani: Neuer 6; Boateng 6 (Mustafi 45mins 5.4), Mertesacker 6, Hummels 6, Howedes 6; Lahm 7; Khedira 6.5 (Schweinsteiger 69mins 7), Kroos 7; Mueller 6), Ozil 7, Goetze 7 (Klose 69mins 7.5).

Wafungaji wa Magoli : Gotze 51, Klose 71


Kikosi cha GHANA: Dauda 7; Afful 6.5, Mensah 6.5, Asamoah 6, Boye 6; Boateng (J Ayew 51mins 6.5 ), Muntari 6, A Ayew 7.5, Atsu 7 (Wakaso 71mins 6); Rabiu 6 (Badu 77mins 6); Gyan 8

Wafungaji wa magoli: Ayew 54, Gyan 63

Mwamuzi : Sandro Ricci
Level best: Andre Ayew (right) rises above the German defence to head home for GhanaNdosi hiyo!: Andre Ayew (kulia) akiruka juu ya mabeki wa Ujerumani na kupiga mpira wa kichwa uliozama nyavuni akiisawazishia Ghana
No chance: A full stretch Manuel Neuer is unable to stop Andre Ayew equalising for Ghana Manuel Neuer akijaribu kuokoa mpira wa kichwa uliopigwa na Andre Ayew, lakini aliambulia manyoya tu!
Stunner: Asamoah Gyan fires past Manuel Neuer to put Ghana ahead against GermanyAsamoah Gyan akipiga shuti kali na kuandika bao la pili dhidi ya Ujeruman.
Dancing feet: Asamoah Gyan and his Ghana team-mates celebrate in spectacular after going 2-1 up Asamoah Gyan na wachezaji wenzake wa Ghana wakishangilia bao la kuongoza.

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

LAANA

 
Top