Muigizaji Elizabeth Michael aka Lulu anaendelea kuonesha hisia zake
kwa Justin Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia ujumbe kila
Jumatatu.
Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya Justin Bieber 'JB' akiwa kifua wazi akipiga
kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa anaota ndoto za
mchana na kwamba hatampata.
“Mapemaaaa...Kabla cku haijawa ngumu..! Haya ni hv wale wa
kuandika ndoto za nn cjui...Mara cjui huwezi kumpata na cjui kimepanda
kimeshuka...msinijazie comment😂😂😂Acha niwape ufafanuzi
kdgo...ni hv Huyu Bwana swala ya yy kupenda....nimemwachia awapende kina
@selenagomez na wengine wote anaotaka kuwapenda...ila swala la yy
kupendwa Aniachie Mimi....yan hyo kazi yangu....!!!
Sasa Kama ni ndoto Wallah ctaki kuamka,Kama ni ufala...yani
ninaukubali kwa asilimia 150%,na mengine mengine yote...sasa Kama
nakuchefua,Nina uhakika Zile ndimu za @diamondplatnumz haziwezi
kukutosha mana hiki kichefuchefu co cha kuisha,bora utafute mbegu ya
Malimao au mbilimbi upande kwako kbsa....Na hili Zoezi ni
endelevu...yani kila Jumatatu...Kama Mshahara vile....!!! #MCM......
#Nilikuwepo”
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.