0
Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba rapper Geez Mabovu ambae ni maarufu kwenye muziki wa hiphop Tanzania, amefariki dunia kwenye hospitali aliyokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita kutokea Dar es salaam.
Breaking News: Msanii maarufu wa Hip Hop nchini Geez Mabovu afariki dunia
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo mpaka mauti yalipomkuta.Geez atazikwa Leo jioni November 13 2014. 
Chanzo: BongoMovies

Post a Comment

 
Top